KAZA
Wednesday, January 25, 2012
KAZAWAZA PRODUCTIONS
Check us for any audio and video works,graphics and any entertainment job,be the first to innovate the secret from Mgombaz zone.also check with us in Facebook,twitter,blog and you can also download our music from here.
Wednesday, January 4, 2012
Lyrical Yasin Mtublack-oh life
AdoraboMc,msanii wa hiphop toka arusha pande za ungalimited,ambaye pia yumo katika kundi la mgombaz niggaz anakuja na new pini aloipa jina "oh life",humu ndani kawashirikisha Mosco & Moplus,Ikiwa ni project single ya kuukaribisha mwaka 2012,ngoma hii tumezungumzia maisha ki concious zaidi,Mosco kanyonga beat na vocal mixing kasmama Defxtro.Holla to all ma fans,maproject yatayofata baada ya hii ngoma ni pamoja na "Next step" ambayo pia tumegongea pande za noizmekah.com..
Subscribe to:
Posts (Atom)
